Kenya Certificate of Secondary Education
KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 1
Kiswahili Karatasi ya 1 – Insha
1. Lazima
Wewe ni Mkuu wa Elimu katika kaunti ndogo ya Tuangaze. Andika hotuba utakayowatolea Maafisa wa Elimu na Walimu Wakuu kuhusu umuhimu wa kustawisha vyuo vinavyotoa mafunzo ya kiufundi katika eneo lao.
2. “Usalama wa mwanafunzi unamtegemea yeye.” Jadili.
3. Andika insha itakayodhihirisha maana ya methali ifuatayo:
Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe.
4. Andika kisa kinachoanza kwa maneno yafuatayo:
Nilimtazama kwa muds.
Moyo wangu ulinituma kumuuliza kilichomfanya kuishi katika mazingira ya kudhalilisha kama hayo.